KANAIROTEA Stories from Nairobi Spill the Tea
Kanairotea / 009

Threesome kwa choo za mollys

NAIROBI

Ehhhh (maybe I should start a substack) so I was leaving back room hapo ma 2am with my cousin… We go outside he saw a girl he wanted akaniambia I go put in word for him. So I’m talking to this girl and all of a sudden she says “do you like women?? Have you ever slept with a woman ”…uuuu as a first year, 2 weeks into uni, a fresh 17 year old (hizi nimaexcuses nasema) I was like no…mschana akanishika mkono akanipeleka choo za mollys tukaanza kufanya vitu za watu wakubwa…mind you my cousin alikuwa ananingoja nje ya Mollys…ehhh Kidogo dem akaanza kuknock the toilet we were in, we shouted we are busy…uuu acha huyu mschana ajiforce ndani…mlango kufunguka kumbe ilikuwa ex wa huyu dem one thing lead to another…ehhh anyways nilitoka kwa hiyo choo hapo 4am nikapata cousin yangu bado ananingoja😭😭🤣…I’m not into women lakini msichana akijileta sikataangi 😔sometimes I miss my asexual past but ohh well..

Okay… what are we saying?

Someone needs to see this

Is this about you, or does it identify someone?